Isaiah 52:5

5 a“Basi sasa nina nini hapa?” asema Bwana.

“Kwa kuwa watu wangu wamechukuliwa pasipo malipo,
nao wale wanaowatawala wanawadhihaki,”
asema Bwana.
“Mchana kutwa
jina langu limetukanwa bila kikomo.
Copyright information for SwhNEN